STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Saturday, July 27, 2013

Rais JK amjulia hali bosi wa HSC aliyemwagiwa tindikali


Mmiliki wa Homeshoping centre na Msasani City mall kalazwa South Afrika July 26 2013 JK Kamtembelea
MFANYABISHARA maarufu Said Mohammed Saad anayemiliki maduka ya Home shopping centre na jengo jipya la Msasani City Mall ambalo ndani yake kuna maduka ya nguo na viatu. yote yakiwa  yanamilikiwa na yeye tu. bado yupo Afrika kusini akiendelea na matibabu baada ya kumwagiwa tindikali.
Said alimwagiwa tindikali na mtu ambae hakufahamika ambapo muda mfupi baadae alikimbizwa hospitali Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu ambapo Rais Jakaya Kikwete mtu wa watu ni miongoni mwa waliokwenda kumjulia hali kama unavyomuona kwenye picha.
 

No comments:

Post a Comment