| Wanenguaji wapya wa Extra Bongo, Jolie na Grace wakionyesha makeke yao |
| Tunatomboka namuna hii ...ayaa ayaaa hiiiiii |
| Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ally Choki (mwenye kofia) akiwatambulisha wanenguaji wao wao huku Super Nyamwela akiwa makini kumsikiliza pembeni kulia. Kushoto ni Papii Catalogue |
| Mi naitwa Jolie Kindu au Muringo Ngassa nimekuya Kutanzanie kwa ajili ya kufunika madancers wote mutaona |
| Msiniangushe jamani, nimeshawafagilia kwa mapaparazi kuwa nyie ni nouma sawasawaaa? |
| Ally Choki akitoa ufafanuzi kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati wa utambulisho wa waneguaji wao wawili kutoka Kongo. |
No comments:
Post a Comment