
Mhadhiri
wa College of Engeneering katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDSM,
Patrick Rweyongeza, ameuawa jana kwa kupigwa na risasi.
Tukio
limetokea jana mchana katika maeneo Magomeni-TANESCO wakati marehemu
akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwenye pikipiki
walimfuata na kumfyatulia risasi na kisha kutokomea.
No comments:
Post a Comment