STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Monday, November 18, 2013

Mwili wa Dk Mvungi kupumzishwa lnyumba yake ya milele leo

 
Picha ya Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi enzi za uhai wake.
Mwili wa aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Marekabisho ya Katiba, Dk Mvungi unatarajiwa kuzikwa leo katika kijiji alichozaliwa kilichopo wilayani Mwanga, mkoani Kilimanjaro.
Mwili wa mwanasiasa, mwanasheria na mwanaharakati huyo atakayekumbukwa kwa utetezi dhidi ya wanyonge, uliagwa jijini Dar kabla ya kusafirishwa kwao jana, chini ni baadhji ya picha za matukio ya kuagwa kwake.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal akizungumza wakati wa kutoka salamu za rambi rambi katika shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Ibada ilkiendelea wakati wa shughuli ya kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa marehemu, Dkt.Sengondo Mvungi,iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Taratibu za Kumuombea Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi zilipoendelea kwenye Viwanya vya Karemjee,Jijini Dar es Salaam.
Jeneza lenye Mwili wa Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi likiwekwa sawa tayari kwa kuaza kwa zoezi la kutoa Heshima za Mwisho.
Viongozi wa Dini wakitoa heshima za mwisho
Watawa wa Kanisa Katoliki wakitoa heshima kwa Mwili wa Marehemu Dkt.Sengondo Mvungi.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,Mh. Seif Sharrif Hamad akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam.
Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Mh. Benjamin Mkapa, akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa marehemu, Dkt. Sengondo Mvungi, wakati wa shughuli ya kuaga mwili huo iliyofanyika

No comments:

Post a Comment