STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Monday, November 4, 2013

Rais amtembelea kumpa pole Dk Mvungi


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete na Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe James na daktari wa zamu wakimwangalia Mjumbe wa Tume ya Katiba Dkt Sengondo Mvungi aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kitengo cha Mifupa (MOI) jana Novemba 3, 2013 kufuatia kujeruhiwa kwake na watu wanaosadikiwa ni majambazi juzi usiku Novemba 2, 2013
 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment