![]() |
Ronaldo akiwa na tuzo yake |
Ronaldo akilia kwa furaha |

Gwiji Pele alipea tuzo katia usiku huo mjini Zurich

Mfalme wa soka: Gwiji wa Brazil, Pele alishindwa kujizuia kutoa machozi alipokuwa jukwaani

Retied
Jupp Heynckes ameshinda tuzo kocha bora wa mwaka wa dunia baada ya
kuiwezesha Bayern Muich kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya

Mkali: Zlatan Ibrahimovic ameshinda tuzo ya Bao Bora la mwaka, maarufu kama Puskas

Bao lake tik tak Sweden ikiifunga 4-2 England Novemba mwaka 2012 ndilo bao bora la mwaka

Kipa wa Ujerumani, Nadine Angerer ameshinda tuzo ya Mwanasoka Bora wa kike wa mwaka wa Dunia

Wawili: Ronaldo na Angerer baada ya kutajwa wanasoka bora wa dunia

Taji: Angerer alikuwemo kwenye kikosi cha Ujerumani kilichoshinda Kombe la ubingwa wa Ulaya kwa wanawake
NYOTA wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo hatimaye ameufunika 'mzimu' wa Lionel Messi baada ya usiku wa jana kutangazwa kuwa Mwanasoka Bora wa Dunia.
Ronaldo ametwaa
tuzo ya Ballon D’or kwa kumpiku Lionel Messi ambaye ni
mpinzani wake mkubwa.
Mara
baada ya kukabidhiwa, huku akionyesha kweli Ronaldo alipania kuibeba
tuzo hiyo safari hii, alijikuta akimwaga chozi mbele ya gwiji la soka
duniani, Pele.
Ronaldo mara ya mwisho aliibeba tuzo hiyo mwaka 2008 wakati akiitumikia Manchester United aliyoiwezesha kubeba ubingwa wa Ulaya na Dunia, kabla ya baadaye kuhamia Real Madrid.
Tokea tuzo hizo zilipoanza kuendeshwa na Fifa, hakuna mchezaji aliyewahi kushinda zaidi ya Messi ambaye alizitwaa mara nne mfululizo.
Lakini jana kwa mara ya kwanza, Ronaldo kama alivyokuwa akipewa nafasi hiyo kweli ameshinda
na kumbwaga Messi. Huku Frank Ribbery akishika nafasi ya tatu.
Ronaldo mara ya mwisho aliibeba tuzo hiyo mwaka 2008 wakati akiitumikia Manchester United aliyoiwezesha kubeba ubingwa wa Ulaya na Dunia, kabla ya baadaye kuhamia Real Madrid.
Tokea tuzo hizo zilipoanza kuendeshwa na Fifa, hakuna mchezaji aliyewahi kushinda zaidi ya Messi ambaye alizitwaa mara nne mfululizo.
No comments:
Post a Comment