Miaka mi3 Ajali ya Five Star, Hammer Q awakumbuka hivi!
JANA ilikuwa ni kumbukumbu ya miaka mitatu tangu vifo vya wanamuziki wa 5 Star waliokufa kwenye ajali mbaya ya barabarani iliyohusisha basi lao aina ya Coaster
iliyokuwa na namba za usajili T 361 BGE iliyokuwa imebeba wanamuziki
wa bendi hiyo ya Taarabu ya 5 Star wakitokea Kyela-Mbeya kueleka jijini
Dar.
Ajali hiyo ilitokea March 21 2011 majira ya saa 2 usiku ndani ya hifadhi za wanyama za Mikumi mkoani Morogoro baada ya gari
hilo kuligonga kwa nyuma roli aina ya Scania lililokuwa na namba za
usajili T 848 APE ambalo lililikua linavuta tela lenye namba za usajili T
559 BDL liliokuwa na mzigo wa mbao.
Sasa ikiwa ni miaka 3 tangu vifo hivyo Msanii Hammer Q miongoni mwa abiria waliyokua na basi hilo kabla ya kushukia njiani mjini Iringa na kuokoka kifo, ameandika
ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa Facebook unaosomeka hivi:
No comments:
Post a Comment