STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Saturday, March 22, 2014

Robo fainali Europa League Juventus kuvaana na Lyon

http://3.bp.blogspot.com/-zl95fek81wU/Uyw0Olz8nKI/AAAAAAAA688/IZWkp336i48/s1600/1395403727531_lc_galleryImage_The_Europa_league_trophy_.JPG
Kombe la UEFA Europa League
ROBO Fainali ya Ligi Ndogo ya Ulaya (Europa League) imepangwa ambapo wababe wa Ureno, Benfica walioiondosha patupu Tottenhan Hotspur katika mechi za 16 Bora, itavaana na  AZ ya Uholanzi, huku Olympique Lyon ya Ufaransa itavaana na Juvetus ya Italia.
Mechi nyingine ya hatua hiyo itazikutanisha timu za  Basle dhidi ya Valencia na Porto itavaana na Sevilla
Mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa Aprili 3 wakati za marudiano zitapigwa Aprili 10, mwaka huu.
Ratiba kamili ipo hivi:
AZ vs Benfica
Lyon vs Juventus
Basle vs Valencia
Porto vs Sevilla

No comments:

Post a Comment