STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Wednesday, October 22, 2014

Huzuni! Muigizaji Sherry Magari afariki Morogoro

Shery Charles Magari enzi za uhai wake
Marehemu sheri akiwa kapoz enzi za uhai wake
Hapa akiwa na wasanii wenzake wa kundi la vituko show
WAKATI wadau wa muziki wakijiandaa kumzika msanii YP, tasnia ya filamu nayo imepata pigo baada ya aliyekuwa Aliyekuwa muigizaji na mchekeshaji wa Shery Magari kufariki jana kwenye Hospitali ya Rufaa ya Morogoro alikokuwa amelazwa kwa muda mrefu.
Kwa mujibu zilizotolewa na mmoja wa wachekeshaji wenzake, Robert Augustine 'Kiwewe' ni kwamba Sherry anayetajwa kama mtoto wa muingizaji mwingine nyota nchini, Charles Magari alifariki jana saa 4 baada ya kufahamishwa na Afisa Habari wa TDFAA, Kaftany.
Taratibu za mazishi bado hazijafahamika ila inaelezwa huenda akazikwa leo huko mjini Morogoro na MICHARAZO itaendelea kuwaelezea kinachoendelea, ingawa taarifa hizi zilichelewa kuletwa kwenu kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo tangu tulipofgahamishwa mapema jana asubuhi.

No comments:

Post a Comment