STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Wednesday, October 22, 2014

Newz Alert! Diamond ajisalimisha Polisi

Baada ya wacheza shoo wake kukamatwa, hatimaye Diamond naye ajisalimisha polisi Kituo cha Polisi cha Oyster Bay, alihojiwa kwa masaa kadhaa kisha kuachiwa kwa dhamana baada ya kukabidhi sare za JWTZ  kituoni hapo.
 0
 
 0 0Di - See more at: http://ubalozini.blogspot.com/2014/10/wacheza-show-wa-wakamtwadiamond-diamond.html#sthash.Rlfknl9k.dpuf

http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/10/Diamond-na-Nay-wa-Mitego1.jpg
Diamond akiwa na magwanda ya jeshi sambamba na Nay wa Mitego
HABARI zilizotufikia hivi punde zinasema kuwa msanii Diamond amejisalimisha mikononi mwa Polisi baada ya wanenguaji wake kutiwa mbaroni kutokana ns kupanda jukwaani wakiwa na sare zinazodaiwa za kijeshi, saa chache baada ya meneja wake, Babu Talle naye kukamatwa kwa mahojiano na Polisi.
Inadaiwa Diamond alijisalimisha kwenye kituo cha Oysterbay na baada ya kuhojiwa sambamba na kukabidhi magwanda hayo ya jeshi aliachiwa kwa dhamana.

No comments:

Post a Comment