STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Saturday, March 1, 2014

Aibu! Kijana huyu kanaswa akiiba msikitini

* Ni mara ya nne anaswa bila kukoma
* Alishadakwa Kwa Mtoro, Manyema
* Mwenyewe adai njaa inamponza
Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa kuiba viatu misikiti, aliyejitambulisha kwa jina la Abubakar Abuu (32) akijieleza mbele ya waumini wa msikiti wa Mwenge baada ya kunaswa kaiba sendoz za muumini.
Kijana anayesadikiwa kuwa kibaka wa viatu msikiti katika picha za matukio tofauti ikiwamo akiwa na viatu alivyoiba znazoonekana mwishoni kulia.No comments:

Post a Comment