STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Monday, November 3, 2014

Newz Alert!Kocha wa Azam abwaga manyanga

http://api.ning.com/files/48iT*YTr0YPxYDj01AABZ-Y57HHUz7JiImtjHwmW0--mhgcMrli822GVzy*y9cV27GDkxgov6Sq8O5kkeg7xXw__/13.azam.jpg
Kally Ongalla aliyetangaza kuitema Azam
KOCHA Msaidizi wa Azam, Kally Ongalla ametangaza kubwaga manyanga kuendelea kuinoa timu hiyo.
Taarifa zilizopatikana mapema jioni ya leo zinasema Ongalla ameachana na Azam ikiwa imetoka kupokea kipigo cha pili mfululizo katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Inadokezwa kuwa kilichomfanya Ongalla mchezaji wa zamani wa Yanga kuachana na Azam imetokana na kutaka kwenda kuongeza taaluma yake ya ukocha nchini Uingereza.
"Kocha Msaidizi ameomba kujiuzulu kuifundisha timu ili aende Uingereza kuongeza ujuzi" chanzo cha habari kiliiambia MICHARAZO.

No comments:

Post a Comment