
Shirikisho
la Soka Tanzania (TFF) na TPLB wanamshukuru Mwakibinga kwa mchango wake
kwa kipindi ambacho ameitumikia Bodi, na kumtakia kila la kheri katika
majukumu yake mapya huko aendako.
TPLB
hivi sasa iko katika mchakato wa kupata Ofisa Mtendaji Mkuu mpya kwa
ajili ya kuziba nafasi hiyo iliyoachwa wazi na Mwakibinga baada ya muda
wa mkataba wake kumalizika.
No comments:
Post a Comment