STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Sunday, December 14, 2014

Everton kumuongezea mkataba mpya Samuel Eto'o

http://cde.3.depor.pe/ima/0/0/1/4/2/142932.jpg
WAKALA wa mshambuliaji nyota wa kimataifa wa Cameroon, Samuel Eto’o anatarajiwa kuwa nchini Uingereza wakati wa krismasi ili kuzungumzia suala la kuongeza mkataba na klabu ya Everton.
Mkataba aliosaini mshambuliaji huyo wakati akitua Goodison Park kama mchezaji huru katika majira ya kiangazi una kipengele ambacho kinaruhusu mazungumzo kufanyika pindi mechi 15 zinazpokuwa zimechezwa.
Kutoka na umuhimu wa Eto,o katika klabu hiyo baada ya kufunga mabao manne na kusaidia mengine mawili katika mechi 15 za mashindano yote, Everton wanaonekana kuwa tayari na mazungumzo hayo.
Mara kadhaa kocha wa Everton, Roberto Martinez amekiri kuwa angependa kumbakisha Eto’o mwenye umri wa miaka 33 katika kikosi chake

No comments:

Post a Comment