STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Friday, January 17, 2014

Hawa ni baadhi ya wasanii wanaodaiwa kuwa membaz wa Freemasons

Rihanna amekuwa akitajwa kama kinara kwa wasanii wa kike
Jay Z na Kanye West wakisalimiana kwa ishara inayodaiwa ya Freemason

 
CHINI ni baadhi ya wasanii wanaotajwa kujihusisha au waliokuwa waabudu mashetani (Freemason)
 
Tupac Shakur (2Pac) – (Murdered For Trying To Expose Satan)
Ke$ha
Katy Perry
Justin Bieber
Chief Keef
Snoop Dogg
Skrillex (Sonny Moore)
Amy Winehouse – (Blood Sacrifice)
Britney Spears
Jay-Z – (Illuminati Recruit)
Kanye West
Rhianna
Beyonce
Whitney Houston – (Murdered For Trying To Expose Satan)
Miley Cyrus
Billy Ray Cyrus
Nicki Minaj
Carly Rae Jepsen
Lady Gaga
Katy Perry
Michael Jackson – (Murdered For Trying To Expose Stan)
Bob Dylan
Dr. Dre
Eminem
Cypress Hill
David Bowie
Madonna
Lil Wayne
Nas
Notorious B.I.G. – (Murdered For Trying To Expose Satan)
T-Pain
Aayliah
Chris Brown
Rick Ross
P-Diddy
Justin Timberlake – (Illuminati Recruit)
Drake
Wiz Khalifa
Frank Sinatra
Elvis Presley
Bob Marley
Rebecca Black
Pitbull
David Guetta
Adelle
Alicia Keys
Jennifer Lopez
50 Cent
DMX (Ex Member)
Taylor Swift
Demi Lovato

Pindi ChanaMwenyekiti wa Bodi ya Filamu na Michezo ya Kuigiza



Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara amemteua Mheshimiwa Pindi Chana kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu na Michezo ya kuigiza katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.
Uteuzi huu unatokana na Mamlaka aliyopewa Waziri huyo chini ya kifungu cha 13(i) cha Sheria ya Filamu na Michezo ya kuigiza Na.4. ya mwaka 1976.
Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara hiyo kwa Vyombo vya habari uteuzi wa Mwenyekiti na Wajumbe wengine wa Bodi umeanza tarehe 3 Desemba 2013.
Aidha Waziri huyo amewateua Wakili wa Kujitegemea Silvester Sengerema ,Dr. Vicensia Shule kutoka Chuo Kikuu cha Dar es salaam  na Bishop Hiluka kutoka Shirikisho la Filamu Tanzania kuwa wajumbe wa Bodi hiyo katika kipindi cha miaka mitatu ijayo.
Wajumbe wengine ni Jacob Sarungi kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali , Ntobi Fredrick kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, na Joyce Fissoo ambaye ni Katibu wa Bodi ya Filamu.
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI (MAELEZO)
IMETOLEWA NA IDARA YA HABARI (MAELEZO)