STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Wednesday, July 10, 2013

Utata juu ya kukatwa kwa Masogange

BAADA ya kuenea taarifa kwamba msanii Agnes Gerard 'Masogange' kakamatwa nchini Afrika Kusini akiwa na mwenzake, Mellisa Edward kwa kukutwa na dawa za kulevya 'ameibuka' kupitia Instragram na kutupia picha zake na maelezo kana kwamba yu uraiani.

Hata hivyo baadhi ya waliokuwa waki-comment wanahisi anayefanya hivyo si Masogange mwenyewe ila bwana wake au mtu wake wa karibu kwa lengo la kuzima taarifa hizo zilizotangazwa na Jeshi la Polisi kupitia Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia na Kupamba na Dawa za Kulevya, Gofrey Nzowa. Kamanda Nzowa alithibitisha waliokamatwa Afrika Kusini na dawa hizo ni wasichana toka Tanzania na kutaja majina yao ambapo wengi wamekuwa wakinasibisha jina hilo na Masogange japo hapo chini kuna picha alitumia katika mtandao huo na kuweka maneno ambayo yanaonyesha alivyokuwa akichati na watu wa karibu akiwemo Jacklyne Wolper. Je ni kweli aliyekamatwa sio Masogange ambaye pia yupo Afrika Kusini kama aliyekamatwa ni yeye kwanini anayejifanya msanii huyo anafanya ghiliba hiyo kwa maana gani? Ebu pitia akaunti hiyo na maneno na picha hapo chini;
Picha hii aliitupia siku chache kabla ya msala wa kukamatwa kwa wasichana wawili Bondeni
Hii ndiyo aliyoanza nayo kabla ya kuongeza nyingine



 na baadae kupost pichaa hii yenye caption hiyo hapo chini




jessolomon@renatusleonard naomba nijuze kunani??



tarinawhtIn my prayers doll,fanya yko darling let them talk❤@aggnesfineassgirl



carlozvellaWataongea sana ila yako yanafika utakapoooo



aggnesfineassgirlHahahah si umeitwaa unagoma bby @mattynemo



aggnesfineassgirl@wemalicious hahahaha bby usiniuee uwiiiiii




carlozvellaAchana nao RESPECT KWAKO @aggnesfineassgirl



aggnesfineassgirl@chaggabarbie ��������



albertmgangajrAkili za wabongo bhana,achen unafiki jaman!!!wait n see



asmakarimPole no kweli umekatwa dear



hasnajalangoMh muulize wewe maana kang'ang'ana keshasema keshasema......amesea wapi nini ama udaku 2...@jessolomon



msafirijoab123Daaaaaaa wambea wanyamaze kabsa@aggnesfineassgirl



shinda2013Everybody can update the pics..



mattynemoNakuja soon... ngoja too mizigo iishe dar panachosha...@aggnesfineassgirl



minashabaniMumy nimekuwazia mengi nakukusikitikia sana@aggnesfineassgirl mwenyezi mungu akusaidi kama nikweli upo pouwa na afute hizi husda za midomo yawatu waliyo kuchuria mumy wangu



mariyumiisaidOhghogh***



leahna1112Pole sana mumyto kwanini wanakusingizia hivyo? Pls ukirudi wafungulie kesi haiwezekani wakuchafulie Jina kiasi hichi



achunbaaSasa hawa watu wanazusha maneno ya kisenge manake nn lkn





mpolesam@wolpergambe akupigii ngoo sababu sio yeye na ukimwambia ukweli anakublock ni mumewe anawazuga watu wanyamaze



nishabebee88Tunasemaga BUH BUH BUH likimpata mtuu timua vumbiiiiiii BUHHHHHHHHHHHH .. love u bby boo


biancaselishaYaani nasema wakukome My bebe


aggnesfineassgirlAs usual we present home city @linahbaby


salmakbarbinadamu haswa watz tumezoea kuona wenzetu wasiendelee wakuache mumy wng @aggnesfineassgirl , miss kisses

dadizgalJmn baby am glad ur back missed u booboo@aggnesfineassgirl

dminajmamy nlikumic nmeskia nkajua kwel wacha inpain

cutebeathaDaah pipo r bad.....mmxwhiii.....lov u kipenz

ladyhossyDuh pole kwa kuzushiwa

sandytemumungu mkubwa jamani.dah..nicheki pliz@aggnesfineassgirl

zhussein777hata ingekuwa kweli its non pipoz bussnes .... unatafuta zako huwa tafutii wao kula zako maisha @aggnesfineassgirl

latty3941Na mi nahc

aggnesfineassgirl@nishabebee88 lov u moo bby akeee

aggnesfineassgirl@nassorosalma ����������

aggnesfineassgirl@sandytemu nimewipe fone chek m on insta nkupe no yg ya huku

aggnesfineassgirlMis u moo bby bby @dadizgal

tarinawhtAm hapi������,watasonyajeeeeee!!do ur thing hun achana na wazushi Kama nawaona hii hii ���� dats y I lov u@aggnesfineassgirl

mamyluqMimi midomo yangu bado iko wazi uku kungekuwa na nzi ningemeza nzi nilivyoshaangaa wabongo tumefikia apa mtu anaropoka tu duuu pole mdada ila du

msafirijoab123Wanafiki walie2

levimkush@aggnesfineassgirl y pipo wanakusaka hvo mamii! Temana nao. Lov ya muuuuuuuch!

No comments:

Post a Comment