STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Sunday, March 2, 2014

Hiki ndicho kikosi cha Ruvu Shooting dhidi ya Simba

HIKI ndicho kikosi cha Ruvu Shooting dhidi ya Simba kwa mujibu wa Msemaji wa timu hiyo, Masau Bwire aliyeitumia MICHRAZO MITUPU mapema kabla ya kuelekea uwanjani.
Ni kikosi kile kile kilichobugizwa mabao 7-0 na Yanga wiki iliyopita, japo kina mabadiliko yaliyotajwa na Bwire cha kuishikisha adabu Simba kama walivyofanya kaka zao JKT Ruvu Jumapili iliyopita.

1. Abdallah Rashid-1
2.Michael Aidan-20
3.Mau Boffu-23
4.Baraka Jafar-2
5.Gideon Sepo-22
6. Ally Kani-14
7.Hamis Kisuke-17
8.Juma Nade-5
9.Elias Maguli-10
10.Said Dilunga-25
11.Raphael Kyala-8
Benchi:
Abdul Juma-30
Said Madega-19
Renatus Kisake-6
Frank Msesa-16
Ayoub Kitala-7Lambele Jerome-11
Juma Seif Kijiko-13
Tayari maafande hao wameshalimwa goli mopja dakika ya 23 lililofungwa na Amissi Tambwe na kumfanya Mrundi huyo kufikisha bao lake la 18 msimu huu, mechi inaendelea.

No comments:

Post a Comment