STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Tuesday, November 11, 2014

Bonny Mwaitege Soma Mwanangu!

https://thumbp22-ne1.mail.yahoo.com/tn?sid=2126005954&mid=AKh2imIAABEXVGJUjAXviN2%2B%2FFg&midoffset=2_0_0_1_3276571&partid=1.2&f=1214&fid=Inbox&m=ThumbnailService&w=3000&h=3000
Bonny Mwaitege
MUIMBAJI nyota wa muziki wa Injili, Bonny Mwaitege ameachia wimbo mpya uitwao 'Soma Mwanangu' ukiwa katika miondoko ya Reggae alioimba na mkali mwenzie Bahati Bukuku.
Kwa mujibu wa Mwaitege anayetamba na nyimbo za 'Utamjuaje', 'Mama', 'Mke Mwema' na nyingine wimbo huo umerekodiwa kwa Kameta.
Ndani ya wimbo huo, inasimulia kisa cha Baba anayemhimiza mwanae kusoma kwa bidii na kuacha kucheza ili kujenga mustakabali wa maisha yake ya baadaye na familia yao kwa ujumla.
"Baba yako napenda mwanangu kusoma....Maisha bila kusoma ni magumu...mama yako pia anapenda mwanangu usome..."

No comments:

Post a Comment