
Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imetoa
taarifa hiyo na kuongeza kuwa itaendelea kutoa taarifa kadri hali yake
itakavyokuwa inaendelea.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa mtoto wa
Rais Kikwete, Miraj Kikwete (@kikwete) ameweka picha muda mfupi
uliopita inayomwonyesha Rais pamoja na maneno haya;- “…
#26464 #we #good TABASAMU TU LEO . thank you everyone for your endless
support, love and prayers. It means so much to Dad, myself and our
family. You are a strength to us. TUNAWASHUKURU KWA KUJALI ….“

No comments:
Post a Comment