Diafra Sakho |
Sakho mwenye umri wa miaka 25 alijitoa katika kikosi cha Senegal kilichoshiriki michuano ya Mataifa ya Afrika kutokana na maumivu ya mgongo lakini aliifungia West Ham bao siku 18 baadae katika ushindi wa bao 1-0 waliopata dhidi ya Bristol City.
Sheria za FIFA hazimruhusu mchezaji kuichezea klabu yake kama anatakiwa kuwa na majukumu ya kimataifa. FIFA tayari imeshaanza kuchunguza suala hilo huku West Ham wenyewe wakikanusha kufanya lolote baya kwa kumtumia mchezaji huyo.
Kama West Ham watakutwa na kosa, FIFA inaweza kuliamuru Shirikisho la Soka la Uingereza-FA kubadilisha matokeo waliyopata dhidi ya Bristol City.
Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
KLABU ya West Ham
United inaweza kukabiliwa na adhabu ya kuenguliwa katika michuano ya
Kombe la FA kama Shirikisho la Soka Duniani-FIFA litawakuta na kosa kwa
kumtumia mshambuliaji Diafra Sakho. Sakho mwenye umri wa miaka 25
alijitoa katika kikosi cha Senegal kilichoshiriki michuano ya Mataifa ya
Afrika kutokana na maumivu ya mgongo lakini aliifungia West Ham bao
siku 18 baadae katika ushindi wa bao 1-0 waliopata dhidi ya Bristol
City. Sheria za FIFA hazimruhusu mchezaji kuichezea klabu yake kama
anatakiwa kuwa na majukumu ya kimataifa. FIFA tayari imeshaanza
kuchunguza suala hilo huku West Ham wenyewe wakikanusha kufanya lolote
baya kwa kumtumia mchezaji huyo. Kama West Ham watakutwa na kosa, FIFA
inaweza kuliamuru Shirikisho la Soka la Uingereza-FA kubadilis
No comments:
Post a Comment