Sehemu ya magari yatakayoshindaniwa na wateja wa Airtel |
KAMPUNI ya mtandao wa simu za mkononi ya Airtel Tanzania imezindua promosheni kabambe ijulikanayo kama Airtel
Yatosha Zaidi kwa wateja wanaotumia vifurushi vya Airtel Yatosha kuweza
kujishindia gari Aina ya Toyota IST kila siku.
Akiongea wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo Mkurugenzi wa Masoko ya Airtel Bwana Levi Nyakundi alisema;

"Promosheni hii ni nafasi ya peeke wa wateja wetu
wanaojiunga na vifurshi vya Airtel yatosha vya siku, wiki na mwezi kupata faida
zaidi kutokana pesa wanazozitumia. Nia yetu kuhakikisha tunatoa huduma na
bidhaa bora kwa kupitia huduma yetu ya Airtel Yatosha huku tukiwazawadia wateja
wetu zawadi nono.
Tunaamini promosheni hii itawapatia wateja wetu uzoefu tofauti wakati wote wakitumia huduma zetu za Airtel Yatosha. Zaidi ya wateja wetu kijishindia magari promosheni hii ya Airtel Yatosha Zaidi itawapatia wateja wetu vifurushi zaidi"Aliongeza Nyakundi.
Akiongea kuhusu namna ya kushiriki Mkurugenzi wa mawasiliano wa Airtel, Bi. Beatrice Singano Mallya alisema” ili kushiriki kwenye promosheni hii wateja wanatakiwa kuendelea kununua vifurushi vyao vya Yatosha vya siku, wiki na mwezi. Hakuna gharama ya ziada, kwa kununua vifurushi vya yatosha tayari utakuwa umeunganishwa kwenye droo ya yatosha zaidi na kupata nafasi ya kujishinidia Toyota IST moja kila siku.
Hii ni promosheni ya aina yake ambapo wateja wetu wanazawadiwa kutokana na matumizi yao ya kawaida ya vifurushi vya Yatosha. Tunatoa wito kwa wale ambao hawajajiunga na vifurushi vya Airtel yatosha kufanya hivi na kupata nafasi ya kushinda gari moja kila siku”, aliongeza Mallya.
Kununua vifurushi vya yatosha wateja wanaweza au kupiga *149*99#, kunua kwa kupitia huduma ya Airtel Money au kwa kununua vocha ya Airtel yatosha inayopatikana katika maduka yetu nchi nzima.

Mwaka Jana Airtel ilizindua huduma ya kisasa ya kibunifu na yenye vifurushi vya gharama nafuu sokoni. Kuzinduliwa kwa promosheni hii ya Airtel yatosha Zaidi ni mwendelezo wa dhamira ya Airtel ya kutoa huduma bora huku ikiwazawadia wateja wake kwa kutumia huduma zake.
No comments:
Post a Comment