STRIKA

USILIKOSE

Tuesday, July 2, 2013
Timu ya Kikapu ya UDSM ikijifua
BAADHI ya wachezaji wa timu ya kikapu ya Chuo Kikuu UDSM wakijifua kwa mazoezi kwenye uwanja wao wa nyumbani wa Chuo Kikuu Mlimani-Dar es Salaam.
Njemba yaumbuka Sabasaba kwa kukwapua simu
KIBAKA ALIEIBA SIMU KATIKA BANDA LA VETA SIMU YA STAFFUWA VETA LEO |
KIBAKA AMBAYE ALISHIRIKIANANA MWENZAKE KUIBA SIMULEO |
KIBAKA ALIEIBA SIMU NAKUFANIKIWA KUKIMBIA LAKINI ALIBAMBWA LEO |
AFISA WA NSSF AKITOA KITABUWATU MBALIMBALI WALIOTEMBELEABANDA HILOLEO |
WASANIIWAKUNDI LA TOTI WAKIPOKEA VITABU KUTOKA KWA AFISA WA NSSF LEO |
AKIONYESA BAADHI YUA VIKOMBE WALIVYOSHINDA |
AFISA WA NSSF WAKIWAFAHAMISHA WATU MBALIMBALI WALIOFIKAKWENYE BANDA HILO LEO |
KIKUNDI CHA SACCOS WALIOPATA KUPITIA NSSF |
KIKUNDI CHA SACCOSICHA NSSF AMBAOWAMEFANIKIWA KUPAT MKOPO KUPITIA SACOSI WAKIWA NA DUKA LAO |
KIKUNDI CHA TOTI |
THEOPITA MICHAEL KUTOKA VETA HOTEL NA UTALII KUTOKANJIRO ARUSHA AKIMUONYESHA MKURUGENZIMKUU WA VETA ZEBADISH MOSH KULIA CHUPA YA WINE INAYOTENGENEZWA NJIRO ARUSHA LEO |
MKURUGENZI MKUU WA VETA ZEBADISH MOSH KUSHOTOAKIANGALI BAADHI NGUA ZINAZOTENGENEZWA PUGUKATIKA KIWANDA CHA TMBE KULIA NI ANGELA SAMUEL |
Wanariadhaa Wa Dar wakijifua tayari kwa mashindano
Wakora wamkata binti mikono, kisa kinasikitisha
Picha hii haihusiani na habari hii |
GENGE moja nchini India limekata
mkono wa binti mmoja mwenye miaka minane kwa kutumia fyekeo huku familia
yake ikijaribu kuhakikisha kuachiwa kwa kaka yake aliyetekwa nyara.
Uzma Ara alisafiri kwenda Patna, mjini Bihar, mashariki mwa India, akiwa na familia yake kwa lengo la kumkomboa mtoto huyo wa kiume mwenye miaka minne ambaye alikuwa amenyakuliwa kwenye mtaa mmoja karibu na nyumbani kwao katika wikaya ya Darbhanga.
Baba wa Uzma, Ainul Ansari anadai genge hilo lilimlenga binti huyo kutokana na kuwa shuhuda mkuu wa tukio hilo la utekwaji wa mtoto wake, Julfikar.
Vyombo vya habari vya India vimeripoti binti huyo yuko mahututi kwenye hospitali moja ya serikali mjini Patna baada ya kupoteza sehemu ya mkono wake wa kulia.
Familia hiyo imesema binti huyo alishambuliwa karibu na stesheni ya treni mjini humo Ijumaa wakati wakitafuta hoteli ya kukaa.
Ansari alisema kundi hilo liliwafuata hadi Patna ambako walikuwa wanatarajia kufungua mashitaka polisi.
Serikali ya Janata Dal inayoongozwa na Waziri Mkuu Nitish Kumar sasa imeamuru uchunguzi mpya wa shambulio hilo na mtoto wao wa kiume aliyepotea.
Mama wa Uzma, Nasreem Khatoon alimpinga moja kwa moja waziri mkuu huyo kwenye mkutano wake wa kila wiki.
Familia hiyo inasema polisi wa eneo hilo wameendelea kumshikilia mtoto huyo aliyepoteza mkono wake kwenye ajali ya treni.
Ansari ambaye ni fundi cherehani, alisema amekuwa akilazimishwa kulilipa genge hilo Pauni za Uingereza 3,300 kwa miezi michache iliyopita, imeripotiwa.
Anasema kwamba polisi wamegoma kuchunguza pale familia hiyo ilipogoma kulipia zaidi, genge hilo lililomteka mtoto wao.
Wanasiasa wa upinzani sasa wameishutumu serikali ya mjini humo kwa kushindwa kuchunguza madai hayo moja kwa moja.
Msemaji wa chama cha Bharatiya Janata, Shahnawaz Hussain alinukuliwa na Shirika la habari la Gulf akisema kwamba waziri mkuu huyo amechangia 'kuanguka kabisa kwa sheria' mjini Bihar.

Julio kutupiwa virago Simba kama Kaseja
![]() |
Julio kwenye kijitabu akiwa na makocha wenzake kwenye mazoezi ya Simba uwanja wa Kines hivi karibuni |
Kwa mujibu wa habari zilizochapishwa na gazeti la NIPASHE ni kwamba maamuzi ya kutimuliwa kwa Julio kunatokana na kumaliza mkataba wake wa muda mfupi na tayari maamuzi yameshapitishwa na Kamati ya Utendaji ya klabu hiyo ili nafasi yake ichukuliwe na Seleman Matola.
Mmoja wa vigogo wa Simba aliyenukuliwa na gazeti hilo alisema kuwa tayari maamuzi ya kuachana na Julio yameshatolewa na nafasi yake itachukuliwa na kiungo na nahodha wa zamani wa timu hiyo, Matola.
Kigogo huyo alisema vilevile kuwa katika kikao hicho, watajadili maandalizi na kupanga siku ya kufanyika kwa mkutano mkuu wa mwaka wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao.
"Sasa presha imehamia kwa Julio ambaye hatma yake haijulikani ndani ya Simba, lakini kilichopo ni kama ilivyokuwa kwa Kaseja," alisema kigogo huyo.
Julio alipotafutwa kuelezea hatma yake, alisema yuko kwenye kelele na atafutwe baadaye ambapo hakupatikana tena kupitia simu yake ya mkononi.
Katibu Mkuu wa Simba, Evodius Mtawala, aliliambia gazeti hilo kuwa ni kweli kesho kamati ya utendaji itakutana lakini kubwa watakalojadili ni kupanga maandalizi ya wiki ya Simba.
Mtawala alisema kuwa kikao hicho kitabariki shughuli zote za kijamii zilizopangwa kufanyika na kumalizika kwa tukio la kutambulishwa kwa wachezaji wapya wa Simba katika siku ijulikanayo kama 'Simba Day'.
Alieleza pia zoezi la usajili wa wachezaji wapya limeenda kwa umakini na kwa zaidi ya asilimia 80 wamekamilisha mchakato huo.
Alisema kabla ya kuanza kwa msimu mpya, timu hiyo inatarajia kuweka kambi nje ya jiji la kucheza mechi za kirafiki zaidi ya tatu kwa ajili ya kuwaandaa na kuwaweka tayari kukabiliana na ushindani katika msimu ujao wa ligi.
Simba sasa inaendelea na mazoezi chini ya kocha wake mkuu, Abdallah Kibaden 'King' wakati Matola akiendelea kuisimamia timu ya vijana (Simba B).
Mfalme Mswati aitimka zake kwao Swaziland
Mfalme Mswati wa Swaziland akisindikizwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipoondoka kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam kurejea nyumbani baada ya kufungua maonyesho ya Biashara ya Kimataifa kwenye uwanja wa Mwalimu Nyerere Julai 1,2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na mfalme Mswati wa Swaziland ambaye aliondoka nchini baada ya kufungua maonyesho ya Kiataifa ya Biashara kwenye uwanja wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam Julai 1, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Arsenal yamnyakuwa kinda la kifaransa ni Yaya Sanogo
![]() |
Yaya Sanogo |
KLABU ya Arsenal imethibitisha katika tovuti yake kwamba mwanasoka kinda
wa kimataifa wa Ufaransa, Yaya Sanogo amesaini Mkataba wa muda mrefu
kwao.
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 20 amejiunga kwa ada ndogo tu
baada ya kumaliza Mkataba wake klabu ya Daraja la Kwanza Ufaransa,
Auxerre.
Sanogo kwa sasa yupo na timu ya taifa ya vijana ya Ufaransa chini ya
umri wa miaka 20, katika Kombe la Dunia la U-20, akiwa amefunga mabao
mawili kati ya matatu ya timu yake nchini Uturuki, na amefunga mabao
tisa katika mechi 13 katika msimu alioandamwa na majeruhi Ufaransa.
Gonzalo Higuain na Wayne Rooney ni washambuliaji wengine walioripotiwa
kutakiwa The Gunners msimu huu, lakini Wenger anavutiwa mno na uwezo wa
Sanogo."Sanogo ni usajili mzuri wa kinda kwetu,"aliiambia Arsenal.com. "Ameonyesha uwezo wake siku za karibuni akiwa na Auxerre na poa kikosi cha vijana chini ya miaka 20 cha Ufaransa.
"Tunasonga mbele kwa Yaya kujiunga nasi na kuendeleza kukuza kiwango chake,"alisema Wenger.
Zoezi hilo lipo kwenye kukamilisha taratibu za kawaida za usajili na Sanogo atajiunga na wenzake baada ya mashindano ya Uturuki.
Hivi ndivyo Rais Obama alivyopokelewa Tanzania
RAIS OBAMA akiteremka kwenye Air Force One na mtoto wake pembeni mara baada ya kuwasili katika ardhi ya Tanzania wakati akitokea afrika ya Kusini jana mchana kwa ziara ya kikazi nchini.
Barack Obama akipokewa na Wananchi wa Tanzanian huku wanaband
wakitumbuiza nyimbo mbalimbali kwenye uwanja wa Mwl.Julius Kambarage
jijini Dar es Salaam jana mchana akitoka Africa kusini.

Rais Obama akipita kwenye kapeti jekundu huku akiwa na furaha na kucheza nyimbo za wabongo kwenye uwanja wa jijini Dar es salaam wa Mwl. Julius Kambarage mchana wa jana.

Karibu Tanzania....karibu!!!

Ilikuwa ni patashika kwa wacheza ngoma hapa!!! Obama mpaka akaachia Tabasamu

Rais Obama akicheza nyimbo za hapa kwetu Bongo huku akiwa na furaha kwa mapokezi baada ya kukanyaga ardhi ya Tanzania jana.

Rais na First Lady Obama wakisalimia wananchi wa Tanzanian baada ya kupokewa na Rais Jakaya Kikwete na First Lady Salma

Subscribe to:
Posts (Atom)