STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Saturday, November 9, 2013

AJALI! wawili wafa Mikumi, 20 wajeruhiwa nane hoi


 
Watu wawili wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi la Super Feo kugongana na Land Rover, eneo la Mikumi, mkoani Morogoro jana. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Faustine Shilogile amethibitisha kutokea ajali hiyo.
WATU wawili wamefariki dunia katika ajali ya barabnarani iliyokea jana eneo la Mikumi wakati basi la Supwer Feo kugongana na land Rover katika eneo la Mikumi, baranara ya Morogoro-Iringa kusababisha vifo hivyo na abiria 20 kujeruhiwa wanane wakiwa hoi.
Taarifa kutoka Morogoro zinasema kuwa ajali hiyo ilitokea majira ya saa jioni jana wakati basi lililokuwa likitokea Mbeya kuelekea jijini Dar na  kugongana uso uso na gari ndogo na kusababisha vifo na majeruhi hao, ambapo wanane wanaelezwa wamelazwa katika hospitali moja iliyopo Mikumi na wengine kuruhusiwa baada ya kupata matibabu.

No comments:

Post a Comment