MUIMBAJI nyota wa zamani wa bendi za Africans Stars, Extra Bongo na Double Extra, Khadija Kimobitel pamoja na wenzake wawili wanaounda kundi la Ndege wa3 wameachia wimbo wao mpya uitwao 'Misukosuko' walioimba kwa kumshirikisha Grayson Semsekwa.
Tayari wimbop huo imeshatolewa video na inapatika kwenye mtandao wa youtube.http://www.youtube.com/watch?v=vpyzUfpKtXE
Kutoka kushoto ni Paulyne Zongo, Khadija Mnoga (Kimobitel) na Joan Matovolwa.Wanamuziki hao watatu na wakongwe nchini ndio wanaounda kundi hilo linalojulikana kwa jina la NDEGE 3