STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Saturday, November 9, 2013

Said Mbelwa, Kaoneka wapima uzito kuzipiga kesho Pugu

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi ambaye ni mratibu wa pambano hilo Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwainua mikono juu mabondia Shabani Kaoneka Kushoto na Said Mbelwa watakaopugana Jumapili katika ukumbi wa Zulu Paradise Pugu Kilumba kesho
Bondia Shabani Kaoneka kushoto na Said Mbelwa kulia wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito katikati ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D'



Bondia Said Mbelwa akipima uzito kushoto ni mpinzani wake Shabani Kaoneka na kulia ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila Super D' mpambano utakaofanyika Jumapili ya Novemba 10 katika ukumbi wa Zulu Paradise Pugu Kilumba
Bondia Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mpambano huo kushoto ni mpinzani wake said Mbelwa na kulia ni mratibu wa mpambano huo Rajabu Mhamila 'Super D'

No comments:

Post a Comment