![]() |
Tajiri wa Leicester City, Vichai Srivaddhanaprabha (kulia) akichekelea taji la EPL |
Wakali hao wakiongozwa na Kocha wao, Claudio Ranieri walitua jana katika nchi hiyo ambayo ni asili ya mmiliki wao Vichai Srivaddhanaprabha, ambaye ana furaha kwa mafanikio ya vijana wake, ambao hawakupewa nafasi ya kufunika msimu huu ikizingatiwa msimu uliopita waliponea chupuchupu kushuka daraja.
![]() |
Kocha Claudio Ranieri |






Nahodha wa Leicester City Wes Morgan

Mlinda mlango wa Leicester

No comments:
Post a Comment