Meneja
Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akiongea na waandishi wahabari
(hawapo picha a Nyumba 3, iliyofanyika katika ofisi za Airtel jijini
Dar Es Salam ,akifuatiwa na meneja masoko wa Airtel bi Anethy Muga.
Meneja
Uhusiano wa Airtel Jackson Mmbando akiwaonyesha waandishi wa habari
(hawapo pichani) nyumba watakayojishindia washindi wa Airtel Yatosha
Shinda Nyumba 3 iliyozinduliwa leo katika ofisi za Airtel Morrocco
jijini Dar Es Salam ,akifuatiwa na meneja masoko wa Airtel bi Anethy
Muga.
No comments:
Post a Comment