STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Monday, July 8, 2013

Jionee picha ajali nzima ya basi la Sumry lililoua watu 9 Katavi


Baadhi ya majeruhi wakiwa wamelazwa hospitalini

Majeruhi wa ajali hiyo wakisikilizia maumivu baada ya kupatiwa matibabu
wengine wakiwa wodini wakiendelea na matibabu


Mganga mkuu wa wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi, Dr Emanuely Kamgobe akifafanua jinsi walivyoweza kumudu kuwahudumia wahanga wa ajali

No comments:

Post a Comment