TOFAUTI YA KATI YA MABASI YA SIMBA YANGA NA LA GOR MAHIA
yasemekana hili ni basi lililo nunuliwa na mashabiki wa Gor Mahia kwa ajili ya timu yao

Mabasi ya Simba na yanga - PICHA KWA HISANI YA http://moronew.blogspot.com

| Aliyedai Asizikwe Atafufuka Baada ya Siku Mbili Asababisha Balaa | ||
![]() |
Tuesday, September 18, 2012 4:25 AM Mwanaume mmoja wa nchini Afrika Kusini ambaye alidai enzi za uhai wake kuwa atakapofariki asizikwe kwakuwa atafufuka baada ya siku mbili ameshindwa kufufuka baada ya kifo chake na maiti yake imekuwa kero kwa watu kutokana na harufu kali inayotoa. |
|
|
Mwanaume
huyo aliyekuwa mkazi wa Tsolo, Eastern Cape nchini Afrika Kusini
aliwaagiza ndugu zake wakati wa uhai wake kuwa atakapofariki basi mwili
wake usipelekwe monchwari kwakuwa atafufuka baada ya siku mbili. Mwanaume huyo alifariki jumanne ya wiki iliyopita na ndugu zake walifuata maagizo yake kwa kuuweka mwili wake nyumbani kwake wakimsubiria arudi toka kuzimu akiwa hai tena. Familia yake iliendelea kuutunza mwili wake huku wanajumuiya wa kanisa lake wakija kumuombea dua. Baada ya siku mbili kupita ambazo alidai angefufuka maiti yake ilianza kuharibika na kutoa harufu kali iliyoanza kuwa kero kwa majirani. Msemaji wa eneo hilo aliyetambulishwa kama Sizwe Kupelo aliwaambia waandishi wa habari kuwa majirani wameanza kulalamika harufu kali inayotoka kwenye nyumba yake. "Limekuwa tatizo la kiafya sasa, watu wanaohofia kupata maambukizi", alisema Kupelo. Timu ya maafisa wa afya na mapolisi walitarajiwa kuitembelea familia hiyo na kuishawishi iachane na mawazo ya kusubiria kufufuka kwa ndugu yao na hatimaye wauzike mwili wake kama inavyotakikana. |
||
|
Nifahamishe.com | ||
![]() |
| Kocha Tom Saintfiet akiwa haamini kama jahazi la timu yake limezana uwanja wa Jamhuri, walipokandikwa mabao 3-0 na Mtibwa Sugar |
![]() |
| Jack Wilshere |
![]() |
| Emmanuel Frimpong |
Ofisa
Uhusiano wa kampuni ya Airtel Tanzania, Bi Jane Matinde (kulia)
akimkabidhi moja kati ya T-shirt mia nne Meneja Matukio wa kampuni ya
Capital Plus International ambaye pia ni Mratibu wa mbio za Rock City
Marathon za mwaka huu, Bi Grace Sanga jijini Dar es Salaam jana kama
sehemu ya udhamini wa mbio hizo zitakazofanyika katika uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza tarehe 28 Oktoba. Airtel walikabidhi T-shirt mia
nne pamoja na milioni tano kusaidia mbio hizo.

akimkabidhi hundi ya shilingi milioni tano Meneja Matukio wa kampuni ya
Capital Plus International ambaye pia ni Mratibu wa mbio za Rock City
Marathon za mwaka huu, Bi Grace Sanga jijini Dar es Salaam jana kama
sehemu ya udhamini wa mbio hizo zitakazofanyika katika uwanja wa CCM
Kirumba jijini Mwanza tarehe 28 Oktoba. Airtel pia walikabidhi T-shirt
mia nne zitakazotumika katika mbio hizo. ![]() |
| KAVA LA MOJA YA FILAMU MBILI ZA MAREHEMU STEVEN KANUMBA ALIZOICHEZEA KABLA YA KUFARIKI APRIL MWAKA HUU AMBAYO INATARAJIWA KUINGIZWA SOKONI HIVI KARIBUNI |