STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Saturday, April 5, 2014

Atletico Madrid yazidi kujichimbia kileleni La Liga

Atletico Madrid's Raul Garcia (left)
KLABU ya Atletico Madrid imezidi kujichimbia kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu ya Hispania baada kuidonyoa Villarreal kwa bao 1-0 katika mchezo uliomalizika muda mfupi uliopita.
Bao pekee katika mchezo huo liliwekwa kimiani na Raul Garcia dakika dakika ya 13 akimailizia kazi nzuri ya Koke.
Ikishuka dimbani bila nyota wake, Diego Costa, Atletico wamefanikiwa kufikisha pointi 79 na kujikita kileleni katika mbio za ubingwa wa ligi hiyo.

No comments:

Post a Comment