| Wazazi walijitokeza kwenye sherehe hizo za kufunga shule |
| Wazazi wakinasa matukio kwa kamrra za simu zao |
| Kila mtu hakutaka kupitwa na jambo |
| Wanafunzi wa Joyland Pre & Primary International School |
| Wanafunzi wakiwa wamepozi na mmoja walimu |
| Mkurugenzi wa Joyland, Fredirick Otieno akizungumza kwenye hafla hiyo huku akipigwa na manyunyhu ya mvua |
| Mvua ilitaka kutibua mambo |
| Wanafunzi wa Joyland wakipangwa na walimu wao tayari kutoa burudani |
| Wazazi nao walikuwa wakinasa matukio |
| Wanafunzi wakiingia uwanjani kuonyesha makeke yao |
| Full heshima kwa wazazi |
| Wanaimba |
| Wanafunzi wakiimba |
| Kipaji cha muziki kipo hapa jamani acheni utani! |
| Yaani hakuna aloiyetaka kusimuliwa |
| Kila mmoja anajua anachokifanya uwnajani...Vipaji tupu! |
| Bendi ya shule ilikuwa kiburudisho tosha, jamaa kama Twanga Pepeta |
| Kama Victor Mkambi kwa kupapasa kinanda |
| Wataalam wa klabu ya Lugha ya Kiingereza wakiingia kuonyesha yao |
| Wakijiweka sawa |
| Wazazi wakiwa bize |
| Msosi nao ulikuwa sehemu ya sherehe hizo |
| Maandalizi ya kugawa msosi yalikuwa yakiendelea |
| Waliofanya vizuri walizawadiwa kama hivi |
| Wazazi walisaidia kuwapokea zawadi watoto wao |
| Mkurugenzi Otieno akiomba dua ya kufungia sherehe |
| Mandhari ya Shule ya Joyland International |
| Kwa hakika inavutia |
| Watoto wakifurahia mandhari ya shule hapa ni kwenye bwawa la maji |
| Watoto wakifurahia maji kwenye bwawa |
| Watoto wakicheza |
No comments:
Post a Comment