Kipa huyo aliyeuwawa kwa kupigwa risasi akiwa kwa hawara yake, ametangazwa katika orodha hiyo ya mwisho iliyotolewa na Shirikisho la Soka Afrika, CAF.
Wengine wanaochuana na marehemu huyo ni Akram Djahnit, El Hedi Belamieri wote wa Algeria na E.S. Setif, Fakhreddine Ben Youssef wa Tunisia na C.S. Sfaxien na Firmin Mubele Ndombe wa DRC na AS Vita.
No comments:
Post a Comment