
![]() |
Baadhi ya wasanii waliowahi kuigiza na Mama Mashaka wakiwa na Januari Makamba. Wasanii hawa wamelifufua kundi kwa jina jipya la Kaone Sanaa Group |
Mama Mashaka amefariki usiku wa kuamkia leo majira ya saa tano za usiku katika Hospitali ya Amana iliyopo Ilala, jijini, Dar.Kwa habari zaidi tutaendelea kukujuza hapa.
GPL
No comments:
Post a Comment