Prisons-Mbeya wanaoburuza mkia |
Mbeya City waliong'ang'aniwa na JKT Ruvu leo Chamazi |
Kagera Sugar angalau sasa wanapumua baada ya kuondoa gundu Kambarage-Shinyanga |
KAGERA Sugar ambayo tangu ihame dimba lake la Kaitaba ilikuwa haijaonja ushindi zaidi ya kupokea vip[igo katika uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza na kuamua kukimbilia Kambarage, Shinyanga.
Katika pambano lao la kwanza kwenye uwanja huo mpya Kagera iliondoa gundu kwa kuichakaza Mgambo JKT kwa kuilaza bao 1-0.
Bao pekee la pambano hilo liliwekwa kimiani na Atupele Green dakika ya 50 kwa kichwa akiunganisha krosi pasi ya Daud Jumanne na kuwapa ushindi wa kwanza unaowapeleka hadi kwenye nafasi ya nane wakiizidi Simba wanaokamata nafasi ya 9, huku kipigi cha Mgambo kimewashusha hadi nafasi 12.
Maafande wa Prisons bado wapo mkiani wakiwa na pointi 11 baada ya mechi 13.
MSIMAMO LIGI KUU TANZANIA BARA:
P W D L F A GD Pts
01. Azam 12 06 04 02 17 10 07 22
02. Yanga 12 06 04 02 13 07 06 22
03. Polisi Moro 14 04 07 03 12 11 01 19
04. JKT Ruvu 14 05 04 05 14 14 00 19
05. Ruvu Sh'ting 14 05 04 05 10 11 -1 19
06. Mtibwa Sugar 11 04 06 01 13 07 06 18
07. Coastal Union 14 04 06 04 11 10 01 18
08. Kagera Sugar 14 04 06 04 11 11 00 18
09. Simba 13 03 08 02 13 11 02 17
10. Mbeya City 13 04 04 05 09 11 -2 16
11. Ndanda Fc 14 04 03 07 13 18 -5 15
12. Mgambo JKT 12 04 02 06 06 11 -5 14
13. Stand Utd 14 02 06 06 09 17 -8 12
14. Prisons 13 01 08 04 10 12 -2 11
Wafungaji:
7- Didier Kavumbagu(Azam)
6- Samuel Kamuntu (JKT Ruvu), Rashida Mandawa (Kagera Sugar)
5- Ame Ali (Mtibwa), Danny Mrwanda (Yanga)
4- Rama Salim (Coastal), Simon Msuva (Yanga), Emmanuel Okwi (Simba),Nassor Kapama (Ndanda)
3- Ally Shomari (Mtibwa), Jacob Massawe (Ndanda), Kipre tchetche (Azam)
No comments:
Post a Comment