STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Sunday, November 10, 2013

Newz Alert: Majambazi yaua mfanyabiashara Moshi

WATU wanaodaiwa kuwa majambazi wamemvamia na kisha kumuua mfanyaboashara wa mbao mjini Moshi, Nickson Mushi.

Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na Polisi mkoani Kilimanjaro zinasema kuwa tukio hilo lililotokea jana usiku na watu hao kupora kiasi cha Sh. Mil 1.7.

JF

No comments:

Post a Comment