STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Sunday, November 10, 2013

Orlando Pirates mambo magumu Afrika

ORLANDO Pirates ipo ugenini mjini Cairo kuumana na Al Ahly ya Misri katika pambano la pili la Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika na mpaka sasa ambapo ni mapumziko matokeo ni 0-0, huku wenyeji wakitawala sehemu kubwa ya mchezao huo.
Wenyeji wamefanya kosa kosa nyingi, lakini Orlando wameonyesha kukomaa wakisaka angalau bao moja ili kuweza kutangazwa mabingwa wapya Afrika ikiwa ni kwa mara ya pili.
Je watafanikiwa kuwavua ubingwa Al Ahly? Tusubiri baada ya kipindi cha pili kitakapomalizika.

No comments:

Post a Comment