STRIKA

STRIKA

USILIKOSE

USILIKOSE

Thursday, May 8, 2014

Hii ndiyo orodha mpya ya Matajiri Afrika, Rostam, Mengi nouma!

Rostam Aziz anayekamata nafasi ya 27

Reginald Mengi
Mohammed Dewji (MB)

Kinara Alhaj Aliko Dangote toka Nigeria anayeendelea kukimbiza mabilionea wa Afrika

Said Salim Bkahresa
MTANDAO wa Forbes maarufu kwa kutoa taarifa kama hizi, umetoa orodha mpya ya matajiri 50 kutoka Afrika na kuhusisha vyanzo vya pesa zao, umri wao pamoja na kiasi cha pesa wanachomiliki, ambapo Tanzania imefanikiwa kuwaingiza matajiri wake wanne akiwamo Salim Bakhresa, Reginald Mengi, Mohammed Dewji na Rostam Aziz.
Orodha hiyo kama kawaida imeongozwa na Mnigeria, Alhaj Aliko Dangote, huku Mtanzania Rostam Aziz akiwa kwenye nafasi ya 27 akifuatiwa na Reginald Mengi namba 34, Bakhresa namba 38 na Mohammed Dewji namba 38.

1
  2  3  4  5

No comments:

Post a Comment