KLABU ya Real Madrid bado imeendelea kung'ang'ania kileleni katika orodha ya
vilabu vyenye thamani zaidi duniani(Most Valuable Football Clubs) kwa mujibu wa
jarida la Forbes.Katika orodha hiyo klabu ya Manchester United imeendelea kuwa juu ya vilabu vya England licha ya kufanya vibaya msimu huu.
Manchester United imeshuka thamani kwa 11% tangu ilipomuajiri David Moyes kama kocha wake mkuu.
Chini ya Moyes Manchester United imepata hasara ya £181.5m, huku majirani zao Manchester City wao wamepanda thamani kwa 25%
Orodha kamili ya Klabu hizo Tajiri Duniani ni;

No comments:
Post a Comment