Mafuriko kila kona |
Baadhi ya nyumba zikiwa zimefurika maji ya mvua zinazoendelea kunyesha Dar |
Maisha haya mpaka lini? |
Uokozi ulikuwepo Dah! Jiji la Dar Nouma |
Uokozi na uopoaji wa waliosombwa na maji |
Maji kila kona |
Kubebana nako kulikuwapo |
Kariakoo Jijini Dar hali ya mvua ipo hivi... ni hatari tupu
Foleni nayo usiombeeeeeeeeeeee....
Sehemu
ya maduka yaliyopo eneo la Kituo cha daladala cha ITV yakiwa
yamezingirwa na maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar
es Salaam. Kutokana na mvua hizo na maji kujaa kumesababisha msongamano
mkubwa wa magari kuanzia jana jioni na leo.
Barabara ya kuelekea Goba....
Barabara ya Goba ikiwa imeharibika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha.
Maji yakitiririka kwa kasi katika Mto Mbezi eneo la Bondeni...
Vijana wakitumia fursa vizuri kwa kujipatia mchanga unaotiririshwa na maji ambapo huwauzia madereva wa maroli.
Eneo la Mwenge karibu na kituo cha daladala.....
Moja ya daladala lililokuwa gereji likiwa limezingirwa na maji eneo la Mwenge....
Maduka ya Mwenge yakiwa yamezingrwa na maji.....
Mdada huyu alikuwa akipiga hesabu na kujiuliza jinsi ya kuvuka maji yaliyojaa na kukatiza barabara eneo la ITV.
Mwenge karibu na Zahanati...... hakuna njia ya kuingilia Zahanati
Maduka eneo la Mwenge yamejaa maji....
Kazi haifanyiki leo katika maduka haya...
Mwenge eneo la Nakiete......
MVUA kubwa ziliuzonyesha mfululizo kwa siku ya juzi mpaka leo hii imedaiwa kusababisha vifo vya watu 10 na maelfu kukosa makazi katyika maenepo mbalimbali ya jijini Dar na mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment